Wednesday, April 05, 2017

MWENGE WA UHURU WAZINDUA NYUMBA ZA NHC KWAAJILI WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE, KATAVI

Nyumba za Gharama NAfuu NHC Mlele ambazo zimejengwa na NHC kwaajili ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele (pichani) zikiwa tayari kwaajili ya ufunguzi rasmi ambao umefanyika rasmi jana na Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2017  zilizozinduliwa rasmi jana katika uwanja wa Kumbukumbu Mjini Mpanda mkoani Katavi na unatarajiwa kuzunguka katika mikoa yote 31.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2017 Bw. Amour Hamad Amour (kushoto) akimuahidi mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi (kulia) kuulinda na kuukimbiza Mwenge wa Uhuru katika Halmashauri zote 195 Tanzania bara na Zanzibari wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2017 katika viwanja vya Kumbukumbu ya Mwenge wa Uhuru  leo Mkoani Katavi.
Nyumba za Gharama NAfuu NHC Mlele ambazo zimejengwa na NHC kwaajili ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele (pichani) zikiwa tayari kwaajili ya ufunguzi rasmi umefanyika rasmi jana na Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2017 ambazo zilizinduliwa rasmi jana katika uwanja wa Kumbukumbu Mjini Mpanda mkoani Katavi na unatarajiwa kuzunguka katika mikoa yote 31.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...