Wednesday, October 12, 2016

NAIBU WAZIRI MPINA AWATAKA VIONGOZI KUWACHUKULIA HATUA WAHARIBIFU WA MAZINGIRA

Naibu Waziri Ofisiya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina kulia akifafanua jambo kuhusu utunzaji wa mazingira alipokuwa akiongea na uongozi wa Mkoa wa Tabora (hawapo pichani) katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Aggrey Mwamri na kushoto ni Katibu tawala wa Mkoa Dk. Thea M. Mtara.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dk. Thea Mtara akisoma Repoti ya Mazingira ya Mkoa kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina mapema kabla ya kuanza ziara ya ukaguzi wa mazingira Mkoani Tabora.
Washiriki wa mkutano wa viongozi wa Mkoa wa Tabora na waandishi wa habari wakati Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano namazingira Mhe. Luhaga Mpina akipokea maelezo kuhusu ripoti ya mazingira ya Mkoa wa Tabora. (Habari na Picha na Evelyn Mkokoi.)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...