Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumzana baadhi ya wagonjwa wakati alipotembelea hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor Atiman wakati alipkagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Madaktari, wauguzi na viongozi wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor Atiman wakati alipokagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment