Monday, October 12, 2015

JK AZINDUA KIWANDA KIKUBWA KABISA CHA SARUJI BARANI AFRIKA, CHA BILIONIE ALIKO DANGOTE MJINI MTWARA



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria  kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote na familia yake na ujumbe wake kutoka Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015



Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote  wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015

 Rais baada ya kuzindua kiwanda hicho

No comments:

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN UAPISHO WA RAIS WA MSUMBIJI

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa  zamani wa Msumbiji, Joaquim Chissano katika sherehe za kumwapisha Rais wa Msumbiji...