Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana Ezekiel Mashita kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na moja ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”.
Meneja mauzo wa Airtel bwana Pascal Bikomagu.(kulia) akimpongeza bwana Oswald Marandu (kushoto) kutoka Kilimanjaro, baada ya kuibuka mshindi katika droo ya kumi na moja ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na kujishindia shilingi milioni moja.
No comments:
Post a Comment