Sunday, October 11, 2015

RAIS WA NAMBIA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI TANZANIA



  Rais wa Namibia, Hage Geingob akilakiwa na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
 Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha mgeni wake Rais wa Namibia, Hage Geingob.
  Rais wa Namibia, Hage Geingob akisalimiana na mke wa rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
 Rais wa Namibia, Hage Geingob akipokea maua kutoa kwa mtoto, Elizaberth Jackson mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
  Rais wa Namibia, Hage Geingob akipeana mkono na mtoto Elizaberth Jackson mara baada ya kupokea maua. 
 Rais wa Namibia, Hage Geingob akipigiwa mizinga 21.
 Gwaride la heshima.
 Rais wa Namibia, Hage Geingob akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais wa Namibia, Hage Geingob akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais wa Namibia, Hage Geingob pamoja na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakicheza muziki wa Brass Band walipokuwa wakiangalia vikundi vya burudani vilivyokuwa vikitumbuiza leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam.(Picha na Francis Dande)
 Bendera ya Tanzania na Namibia.
 Ndege ya Rais ikiwasili.

l

No comments:

RAIS SAMIA AWAINUA PIKIKIPI 37 MAAFISA UGANI WA KILIMO KIBAHA TC

  NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Halmashauri ya Kibaha mji imepokea jumla ya pikipiki zipatazo 37 kutoka serikalini kupitia Wizara ya kilimo ...