Friday, October 09, 2015

MSUYA AONGOZA MKUTANO MKUU WA 42 WA WANAHISA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Robert Jaran (kushoto), akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa Wana hisa uliofanyika Dar es Salaam jana. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TBL, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya, Katibu, Bw. Huruma Ntahena na Mkurugenzi wa fedha TBL, Bw. Kenn O’flahenty.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu wa zamani Bw. Cleopa David Msuya akisoma ripoti ya mwaka 2015, wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa Wana hisa kampuni hiyo uliofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Tanzania, Bw. Robert Jaran.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, baada ya Mkutano Mkuu 42 wa Wana Hisa wa kampuni hiyo. Kushoto ni Mkuregenzi Mtendaji wa TBL, Bw. Robert Jaran na Katibu Bw. Huruma Ntahena.
Baadhi ya Wana hisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (hayuko pichani) wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa wana hisa hao uliofanyika Dar es Salaam
Baadhi ya Wana hisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (hayuko pichani) wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa wana hisa hao uliofanyika Dar es Salaam.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...