Sunday, October 11, 2015

MKUTANO WA HADHARA WA CCM MAKOONGENI KASKAZINI PEMBA

1

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kakskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Oktoba 10, 2015 jimbo la Mtambwe.
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Iddi wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Oktoba 10, 2015  jimbo la Mtambwe.
3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali  Iddi wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara wa Kampeni za Uchaguzi uliofanyika Oktoba 10, 2015 jimbo la Mtambwe.
4
Baadhi ya wajumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM NEC na Viongozi wengine wakiwa katika Mkutano wa Hadhara wa kampeni za Uchaguzi uliofanyika Oktoba 10, 2015  katika jimbo la Mtambwe kijiji cha Mkoongeni.
7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwatambulisha wagombe Ubungekatika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika  Oktoba 10, 2015 kijiji cha Makoongeni Wilaya ya Wete Pemba katika Jimbo la Mtambwe pia kuwaombea Kura Rais wa Jamhuri ya Muungano na Mgombea Mwenza.
56
Mamia ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofurika katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika kijiji cha Makoongeni Wilaya ya Wete Pemba katika Jimbo la Mtambwe,wakimsikilizaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa sera za CCM na kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza tena katika kipindi cha pili cha Uongozi.
8
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM wakinyoosha mikonu juu kuunga mkono sera zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinkatika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika  kijiji cha Makoongeni Wilaya ya Wete Pemba katika Jimbo la Mtambwe.

No comments:

Rais Samia Aongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Jijini Dodoma

Dodoma, 18 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameo...