Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi na wanaCCM katika mkutano wa hadhara wa Kampeni Jimbo la Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba Oktoba 10, 2015 katika Kijiji cha Makoongeni,
[Picha na Ikulu.]
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM na Balozi Ali Karume akiwasalimia wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Jimbo la Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Makoongeni Mkoa wa Kaskazini Pemba,
Wananchi wa Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Mtambwe wakisikiliza sera za Chama cha Mapinduzi zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika kijiji cha Makoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
No comments:
Post a Comment