Friday, October 02, 2015

MAMA SAMIA AHUTUBIA MWIBARA NA SERENGETI

3
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya Mnadani eneo la Kisorya, jimbo la Mwibara mkoani Mara, jana Oktoba 1, 2015.
4
Wananchi wakiwa wamefurika karika viwanja vya Mnadani, eneo la Kisorya katika jimbo la Mwibara mkoani Mara, wakati Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni katika eneo hilo jana, Oktoba 1, 2015.
5
Mgombea Ubunge jimbo la Mwibara, Kangi Ligora, akionyesha machejo ya furaha, baada ya kuomba kura wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mama Samia, uliofanyika jana, Oktoba 1, 2015, katika viwanja vya Mnadani, Kisorya katika jimbo hilo mkoani Mara.
6
Wananchi akiwa wamezuia msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan, katika eneo la Natta, ukitoka Mugumu kwenda Kisorya, Bunda mkoani Mara.
7
Mgomea Ubunge jimbo la Bunda Vijijini mkoani Mara, Boniface Mwita Getere akiomba kura, wakati msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto), uiposimamishwa na wananchi katika eneo la Mugeta, katika jimbo hilo, jana,
8
Mwananchi mwenye ulemavu, akimshangilia mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, aliposimama kwa muda kusalimia wananchi katika eneo la Mugeta, jimbo la Bunda Vijijini mkoani Mara, jana, Oktoba 1, 2015.

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...