Monday, October 12, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI TUZO ZA MUUNGANO WA WAFANYABIASHARA NA WAMILIKI WA VIWANDA KUTOKA TANZANIA NA UTURUKI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Sherehe za Utoaji Tuzo kutoka Muungano wa Wafanyabishara na Wamiliki wa Viwanda wa Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hayatt Regency, jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 11, 2015.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa waandaaji wa Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, wakati wa hafla ya sherehe hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt. 11, 2015.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Kampuni ya Kamaka Ltd, Yusuf Manzi, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku Okt 11, 2015.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti Mkurugenzi wa Kampuni ya Kamaka Ltd, Yusuf Manzi, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku Okt 11, 2015.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Kampuni ya FBN Insurance Brokers, Fikira Ntomola, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku Okt 11, 2015.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti Mkurugenzi wa Kampuni ya Sami Agencies Ltd, Lulu Mollel, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku Okt 11, 2015.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Ofisa wa Matangazo wa EPZA, Ipyana Kasuti,  wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku Okt 11, 2015.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Ofisa wa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Happilac, Shaihid Razak Sikka,  wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku Okt 11, 2015. 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla hiyo, baada ya zoezi la utoaji Tuzo. Picha na OMR

No comments:

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN UAPISHO WA RAIS WA MSUMBIJI

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa  zamani wa Msumbiji, Joaquim Chissano katika sherehe za kumwapisha Rais wa Msumbiji...