Friday, June 20, 2014

Rais Jakaya Kikwete Apokea Rasmi Taarifa ya Mpango Mpya wa Uendelezaji Mji Mkuu Dodoma Kutoka Kwa Viongozi Waandamizi wa Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) muda mfupi baada ya viongozi hao kuwasilisha taarifa ya mpango mpya wa uendelezaji mji Mkuu Dodoma kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu ndogo mjini Dodoma. Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, na wanne kushoto pembeni ya Rais ni Kaimu Mkurugenzi mkuu CDA Mhandisi Ibrahim Ngwada. Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...