Msafara ukaanza safari ya kuelekea barabara kuu ya Moshi/Arusha ukitokea kanisani Kilinga.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki-Chadema , Joshua Nassari na ,Anande Nnko
wakiwa ndani ya gari muda mfupi baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Kilinga wilayani Arumeru tayari kwa kuelekea viwanja vya Usa-River Academy.
Bi Harusi Anande Nnko akiwa katika gari tayari kuelekea katika viwanja vya Usa-River Academy.
Baadae maharusi wakabadili gari ili waweze kuonekana vyema na wakazi wa jimbo la Arumeru Mashariki.
Maharusi wakiwa katika gari la wazi huku wakipunga mikono kwa watu waliokuwa barabarani
Mharusi waki "Show Love"
Maharusi wakiwa katika gari la wazi huku wakipunga mikono kwa watu waliokuwa barabarani.
Mamsapu akianza majukumu ya kuhakikisha Mzee anakuwa nadhifu kila wakati.
No comments:
Post a Comment