Ujumbe wa Tanzania ukielezwa namna mji wa Singapore ulivyopangwa kulingana na matumizi mbalimbali ulipotembelea Mamlaka ya Uendelezaji Miji ya Singapore(URA) jana.Ujumbe wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ukiwa katika Bodi ya Uendelezaji wa nyumba ya Singapore ambayo harakati za Bodi hiyo zimewezesha asilimia 86 ya watu wa nchi hiyo kupata nyumba za kuishi. Nchi ya Singapore ina watu milioni 5.4Ujumbe wa Naibu Waziri ukiwa katika kampuni inayosambaza na kusimamia usalama wa maji katika nchi ya Singapore na maeneo mbalimbali Tanzania ya Hyflux Innovation Centre ambayo pia imeonyesha nia ya kushirikiana na Tanzania kusambaza maji katika maeneo inayojenga nyumba za wananchi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment