Monday, April 01, 2013

Shimo palipokuwa limejengwa jengo la ghorofa 16 lililoporomoka


Questionable Foundation.
 Hivi ndivyo palivyo palipokuwa eneo lililoporomoka jengo la ghorofa 16 eneo la City Centre mtaa wa Indira Gandhi kifusi kimeondolewa na maiti zimeondolewa Mungu awarehemu mafundi, watoto, vibarua na wapita njia walioangamia.

No comments:

MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA

KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...