Waziri
Mkuu Mizengo Pinda Akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara
Philip Mangula na Mke wake Bi Yolanda MundA Mfupi baada ya kufunga ndoa,
Kushoto juu ni katibu mkuu wa CCM COL:Mstaafu Abdurahaman Kinana
Waziri Mkuu akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula baada ya kufunga ndoa na Bi Yolanda.
Makamu Mwenyekiti Bara, Philip Mangula na Bi Yolanda wakati wa ibada ya ndoa yao.
Maharusu wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao.
--
Na Mwandshi Wetu
Waziri Mkuu
Mizengo Pinda amewataka wa Tanzania wapendane na kuishi kama watoto wa
baba mmoja na kuondoa tofauti za kidini ambazo zina weza kulingiza taifa
katika matatizo makubwa Waziri Mkuu ametoleamfano wahivi karibuni ambao
badhi ya wakristo na waisilamu walianza kugombana kwa ajili ya uhalali
wa kuchinja amesema
watanzania hawana budi kuheshimu imani za wenzao kwani miaka ya nyuma
watu walikuwa wakishirikiana kiasi kwamba huwezi kujua tofauti ya
mkristo na mwisilamu kwa vile watu walikuwa wana pendana nakuheshimu
dini ya mwenzake ,
Hivyo amewaomba viongozi wadini kusaidia kurudisha upendo ambao ulikuwepo
amesema amefurahishwa na kuona hata viongozi wa dini ya kisilamu Kuwepo
kanisani katika ibada ya kubariki ndoa ya Bwana Philip Mangula na Bibi
Yolanda Kabelege amesema watu wanjombe ndio mfano wakuigwa
Waziri
mkuu ameyasema hayo alipokuwa amehudhuria sherehe ya kubariki ndoa ya
Makamu mwenyekiti wa ccm bara Mh Philip Mangula na Mwalimu Yolanda
Kabelege ambayo imefanyika katika kanisa la Kilutheri Mkoani Njombe.
Naye
Katibu mkuu wa ccm Mh Abdurahamani Kinana aliwapongeaza wana ndoahao
kuamua jambo lakufunga ndoa kwani hata vitabu vitakatifu vinasema nyumba
iliyo katika ndoa hata mungu huibariki nakuipa amani
Sherhe hiyo imefanyika siku ya jumamosi 6april 2013 ilhuduriwa na viongozi dini wa chama na waserkali mabaozi na wana njombe
No comments:
Post a Comment