Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe
mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa heshima zote baada ya kutua katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari
kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru
Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa
michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013"
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe
mama Salma Kikwete na kuchoto ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt
Batilda Burian wakipiga picha ya pamoja na wasichana waliowazawadia
mashada ya maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege
No comments:
Post a Comment