Sunday, August 07, 2011

Walemavu wachangiwa mamilioni katika hafla


Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Fatma Kharoos akipokea shati kwaajili ya mkurugenzi wa taasisi ya walemavu wa macho nchini, James Shimwenye kutoka kwa Mrembo.
Msanii TID kitumbuiza katika onyesho hilo
Mkurugenzi wa taasisi ya walemavu wa macho nchini, James Shimwenye akipokea mojawapo ya hundi ambapo walemavu nchini walichangiwa zaidi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya kununulia vifaa vya kuwasaidia.
Michango hiyo ilitolewa kwenye hafla iliyoandaliwa na kampuni ya Allure International na kufanyika katika Hoteli ya Moven Pick, jijini Dar es Salaam. Katika hafla hiyo mkurugenzi wa RBP, Rahma Al-kharoos ambaye alikuwa mgeni rasmi aliahidi kutoa shilingi milioni 100 kuwasaidia walemavu wenye matatizo ya macho nchini.


Asia Idarous na Mama Kharoos


Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Fatma Kharoos

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...