Monday, August 01, 2011

Msimu wa Dhahabu Fiesta 2011 Dar


Mkali Ludacriss kutoka nchini Marekani akiimbisha mashabiki wake hawapo pichani, wakati aliposhuShughuli nzima ya Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta ilifungwa katika viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia Julai 31 jijini Dar es salaam. Huu ni mwendelezo wa matukio yaliyojiri kutoka viwanja vya Leaders Kinondoni.


Mashabiki wameshachenguka na burudani kama unavyowaona mikono juujuu

Lina alitisha kwa kivazi chake hebu kicheki mdau.

No comments:

RC CHALAMILA ATOA SIKU SABA KWA MUAFAKA WA MGOGORO WA ARDHI TOANGOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa muda wa siku saba kwa wadau wanaohusika na mgogoro wa muda mrefu wa ardhi katik...