Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe alipokuwa akizindua ujenzi wa nyumba za makazi za Medeli, mjini Dodoma juzi. Kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka.
📍Wanafunzi wa Nyanda za Juu Kusini Wapiga Kambi Kujifunza na Kutali Na Beatus Maganja, Njombe. Wahenga walioshiba tunu za uhifadhi na ut...
No comments:
Post a Comment