Thursday, August 04, 2011

Kanikumbusha mbali saana jamaa



Huyu jamaa ananikumbusha mbaaali saana aina yake ya ukinyozi anaoufanya ni long time ago hakika imenikumbusha miaka ileeee chini ya mwembe ambapo mzee wangu alikuwakinipeleka chini ya Mwembe mambo yamebadilika saana siku hizi tuna vijibanda au fremu zinazoitwa saloon kinafanyika kila kitu , lakini mzee wangu huyu yeye anasonga mbele na kazi yake. Kazi inayompatia kipato halali, hadhulumu, wala kukaba wala kufisadi ya mtu yeye anakula vichwa tuuu.

No comments:

🔴🔴HIFADHI YA MPANGA-KIPENGERE YAENDELEA KUWA LULU YA VIZAZI VIJAVYO

  📍Wanafunzi wa Nyanda za Juu Kusini Wapiga Kambi Kujifunza na Kutali  Na Beatus Maganja, Njombe. Wahenga walioshiba tunu za uhifadhi na ut...