Monday, August 03, 2009

Mzigo mzito mpeee naniiii!!!


Bora punda afe mzigo ufike huo ndo msemo maarufu umezoeleka humu nchini, katika picha hii waweza kumuona ng'ombe akiwa ameeelemewa na mzigo wa jamaa huyu Mpemba wakati akimswaga kusafirisha mzigo kwenda katika shughuli zake za kila siku za kawaida, hapa ni katika mji wa chake chake maisha huku bado ni yaleee ya siku zileee. Picha ya mdau wetu Mpoki Bukuku aliyekuwapo huko jana

1 comment:

SEDOUF said...

Kaka hawa jamaawametupwa kwa miakamingi sana na hii serikali ya ccm.
Wamedai haki zao kwa kutumia kila njia lakini ccm haiko tayari hata kuwasikiliza.
Sasa WAPEMBA wameamua .natumai ushasikia habari ya mabomu huko Pemba.
Lengo ni kuionyesha CCM kuwa Wapemba wanayaweza na sasa wako tayari kwa kudai haki zao wanazonyimwa na ccm.

Leo wameanza kutaka kuyalipuwa madaraja.
Kesho wataanza kukata mikono ya wanyamwezi wote waishio Pemba.
Hii ndio faida ya ccm kuwanyima haki zao Wapemba.

'MYONGE MYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI'

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...