Tuesday, August 04, 2009

Bunge la Afrika Mashariki


SPIKA wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki Abdirahim Abdi akijadiliana jambo na afisa mmojawapo wa bunge hilo wakati wa kikao cha bunge la Afrika Mashariki kinachoendelea jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Karimjee, kikao hicho kililazimika kuahirishwa jana baada ya kukatika kwa umeme. (Picha na Jackson Odoyo)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...