Sunday, August 30, 2009
Jangili anaswa na nyara
Askari wa wanyama poli katika mbuga ya wanyama ya Wami-Mbiki iliyopo mkoa wa Morogoro na Pwani, Lucas Peter (51) kushoto akitoa minofu ya nyama baada ya jangiri Kaburu Yamungu Moshi kukamatwa na askari hao katika kijiji cha
Kidudwe wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro akidaiwa kuwinda kinyume na sheria. Picha na Juma Mtanda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
1 comment:
mie naona wamuachie tu ila kwa onyo kali kuwa asilan asirudie. hiyo nyama wala haitamfanya kuwa tajiri. but does he own the gun legally?
Post a Comment