Sunday, April 05, 2009

Wanasiasa bwana hebu wacheki


Rais Jakaya Kikwete akiongozana na mwenyekiti wa Chama cha CUF Mh. Ibrahim Lipumba kushoto na katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad kulia wakati wakitoka kwenye ukumbi hoteli ya Lamada ambako ndiko kulikofanyika Ibada ya kumuombea Marehemu Shaban Khamis Mloo aliyefariki hivi karibuni Rais kikwete alikuwa mgeni rasmi katika shughuli hiyo . Picha ya Ikulu.

No comments:

MAJALIWA: FANYENI TAFITI ZENYE TIJA KWA WANANCHI

Dar es Salaam, 18 Juni 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa watafiti na wapangaji wa s...