Thursday, April 16, 2009

mambo ya mugongo mugongo



Heee mambo ya Twangazzz hebu cheki walivyokuwa wakijituma hivi majuzi katika viwanja vya michezo vya eneo la Mkuza wilayani Kibaha katika mojawapo ya harakati za mashindano ya netiball taifa, aisee hawa jamaa wamekamata anga za muziki ile mbaya, hawana muchezo ni mugongo mugongo tu.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...