Wednesday, April 29, 2009

Breaking News: Mabomu yalipuka Dar

Habari zilizotufikia hivi sasa zinasema kuwa nyumba kadhaa zimeungua moto, mtu mmoja kufa na wengine kibao kujeruhiwa kutokana na mlipuko mkubwa wa mabomu umetokea katika jiji la Dar es salaam katika eneo la jeshi Mbagala Kizuiani.

No comments:

MAJALIWA: FANYENI TAFITI ZENYE TIJA KWA WANANCHI

Dar es Salaam, 18 Juni 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa watafiti na wapangaji wa s...