Tuesday, November 10, 2026

RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI KUSHIRIKI MKUTANO WA COP31 NCHINI UTURUKI

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere JNIA) Jijini Dar es Salaam, tarehe 10 Novemba, 2026 kabla ya kuondoka kuelekea Jijini Antalya, Uturuki, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko yaTabianchi (COP31).







No comments:

RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI KUSHIRIKI MKUTANO WA COP31 NCHINI UTURUKI

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kima...