Saturday, October 10, 2015

TIMU NIMESTUKA WAKIFANYA KWELI KATIKA JIMBO MSALALA MJINI KAHAMA

Timu nzima nimestuka ikiwasili katika jimbo la Msalala Mjini Kahama.
Kundi la wasanii wanaomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Dk John Pombe Magufuli.
Lengo ni kuwastua vijana wenzao kuacha kufuata mkumbo, na badala yake kusikiliza sera kwa umakini na kupima ukweli wa utekelezwaji wake bila ya kuwa na mihemko ya kidemokrasia.
ENDELEA KUANGALIA MATUKIO YA TIMU NIMESTUKA.
Msanii wa vichekesho, Kitale a.k.a Mkude, akiwastua wananchi wa Kahama.

No comments:

Rais Samia Aongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Jijini Dodoma

Dodoma, 18 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameo...