Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Kalambo kwa tiketi ya CCM, Josephat Kandege katika mkutano wa kampeni a CCM aliouhutubia katika kijiji cha Samazi mkoani Rukwa Oktoba 9,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri MKuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa kampeni za CCM katika kijiji cha Samazi mkoani Rukwa Oktoba 9,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment