Sunday, October 11, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KIKAO CHA DHARULA CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR


  Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na baadhi ya wajumbe wa CCM kusimama na kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki, marehemu Celina Kombani, wakati wajumbe hao walipokutana kwa dharula jijini Dar es Salaam, jana Okt 10, 2015.
 Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na ........baada ya kumalizika kwa kikao cha dharula, kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam,jana Okt 10, 2015.
 Mjumbe waKamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman Kinana (kushoto) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim (katikati) wakati wakitoka ukumbini baada ya kumalizika kwa kikao cha dharula cha CCM kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam, jana Okt 10, 2015.

 Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman Kinana (kushoto) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim (katikati) wakifurahia jambo nje ya ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba, baada ya kumalizika Kikao cha dharula, jana Okt 10, 2015.
Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kulia) akiagana na Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman Kinana, nje ya Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam, baada ya kumalizika kwa Kikao cha dharula jana Okt. 10, 2015. Katikati ni  Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim. Picha na OMR

No comments:

Rais Samia Aongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Jijini Dodoma

Dodoma, 18 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameo...