Monday, May 25, 2009

Mshindi ni Lorecia Bukwimba CCM Busanda


Mbunge mpya wa Jimbo la Busanda Lolensia Bukwimba,
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukwimba Dan Mollel ametangaza matokeo rasmi ambapo mgombea wa CCM ameibuka kidedea.
matokeo ni kama ifuatavyo:
Waliojiandikisha kupiga kura ni 135,000 na ushee
Waliojitokeza kupiga kura 55,000 na ushee
CCM wamepata kura...............29,242
CHADEMA..................22,764.
UDP.......................271
CUF.........................607.

1 comment:

Anonymous said...

Hao watu 77000 wamekwenda wapi? CCM kwa wizi ipo siku watasababisha nchi kumwaga damu kwa sababu wa uchu wa madaraka kutokana na kuwanyima haki wananchi wao. Huyo mwanamke hajachaguliwa ma wana busanda bali wamelazimishwa awatawale

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...