Tuesday, August 14, 2007

Mutoto wa Moro



Sijui hii ni ajira mbaya kwa watoto au ni mtoto anajitahidi kujikimu, tafsiri ya hii term ajira kwa watoto inanisumbua mno. Mtoto huyu alikutwa Moro na Mdau Ashton Balaigwa akidunda mzigo kwa kwenda mbele.

No comments:

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BELARUS AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI

  Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Belarus, Mheshimiwa Maxim Ryzhenkov, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Aprili...