Thursday, October 08, 2015

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC MINDU UPANGA DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe uzinduzi wa jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki . Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mama Zakhia Meghji  na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi . (PICHA ZOTE ZA KITENGO CHA MAWASILIANO KWA UMMA NA HUDUMA KWA JAMII CHA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la ufunguzi la jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki. Wanaoshuhudia nia Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mama Zakhia Meghji  
Jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki linavyoonekana.
 Baadhi ya wafanyakazi wa NHC na wageni waalikwa waliokuwapo katika shughuli hiyo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi hati yake pacha ya umiliki wa sehemu ya nyumba ya makazi, aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi ambaye ni mmoja wa wamiliki wa nyumba katika jengo hilo la ghorofa 16.


Mwanasheria wa Yanga, Alex Mgongolwa akiwa ameshikilia hati yake pacha ya umiliki wa sehemu ya nyumba ya makazi Mindu aliyokabidhiwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana.



  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi iliyotolewa kama mkopo kwa mke wa George Liwolweki ambaye ni mojawapo wa wamiliki wa sehemu ya makazi katika jengo la Makazi kama mkopo wa ununuzi wa nyumba hiyo. Hundi hiyo ilitolewa na Benki ya Azania 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba katika jengo hilo kabla ya kuzindua.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam wakati akienda kufanya ufunguzi wa jengo.

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi ya ua mmoja wa watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga
 Jiwe la ufunguzi lala jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam wakati akiondoka katika eneo la tukio.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka katika eneo la tukio.
 Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji wakuu wa Menejimenti ya NHC.
 Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji wakuu wa Menejimenti ya NHC pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo jana.
  Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya wamiliki wa sehemu za makazi katika jengo hilo la Mindu.
   Rais Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali na baadhi ya wamiliki wa sehemu za makazi katika jengo hilo la Mindu.
 Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo jana.

 Rais Kikwete katika picha ya pamoja na watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam.
  Rais Kikwete katika picha ya pamoja na watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam.
 Rais Kikwete katika picha ya pamoja na watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akiwa na mwanaye  wakati Rais Kikwete alipozindua nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam.
 Jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki linavyoonekana.
Jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki linavyoonekana.

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...