Monday, September 06, 2010

Tumbaku na uvutaji sigara


Mzee aliyetambuliwa kwa jina la Mussa Ali akiuza tumbaku katika soko la kijiji cha Nyangao Lindi vijijini. Picha na Elias Msuya

******************************************
Tumbaku ndio inayotumika vibaya ikilinganishwa na madawa mengine. Kuvuta sigara au kiko husababisha magonjwa haya, ugonjwa wa moyo, pigo, ugonjwa wa mapafu, saratani ya koo, kibofu cha mkojo, firigisi n.k

Watu wengi wanaovuta sigara wanajua kuwa ni mbaya kwa afya yao, jaribu kuwacha au usianze kuvuta.

Ukweli kuhusu tumbaku:
Tumbaku huleta saratani yam domo, ulimi, na 80% ya watu wanaovuta sigara walianza wakiwa vijana.
Kampuni za sigara huongeza madini ya ammonia kwa hivyo ubongo hufunikwa na nikotini.

1 comment:

emu-three said...

Hii nakumbuka kuna kipindi waliiongelea bungeni, wakasema kuwe na sheri akali ya kupinga watu wanaovuta sigara hadharani, lakini sijui iliishiwa wapi.
Wakati mwingine najiuliza kwanini sisi binadamu tunapenda kujiua wenyewe, halafu mwisho wa siku tulalamika..oooh mungu wangu mbona nateseka, mbona siponi, mbona...

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...