Sunday, September 12, 2010

Miss Tanzania 2010



Genevieve Emmanuel

Genevieve Emmanuel ndiye Vodacom Miss Tanzania 2010, mshindi wa pili ni Glory Mwanga na wa tatu ni Consolata Lukosi.Picha zote na Venance Nestory.

3 comments:

Anonymous said...

We mzee wa shitu vip? mbona hutuletei habari ya Dr Slaa jana mwanza mfuniko uliokuwa huko.

kaka inatakiwa muwe kama panya, anayekula na kupuliza.

Huku unatoa habari za chama tawala na huku za wapinzani, unajua na wapinzani wanayo nafasi ya kuchukua uongozi wa nchi.

Si mnaona wapiga kura wanavyowafuata, ooh!

emu-three said...

Kweli bwana tujaribu kuwapa tafu vyama vya upinzani, tuelewe kuwa upinzani sio ugomvi, ni mchakato wa kuboresha maisha yetu wenyewe na ili tufanikiwe ni sisi sote kujaribu kuvipa moyo vyama vya upizani.
Miss wetu hiyo mikao, mmmh, sijui ...!

Anonymous said...

Hivi umiss lazima ujue kujiacha wazi kidogo sio..la sivyo bado hujawa miss sio?

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...