Sunday, October 11, 2009

Jack Mbando apata jiko


Mshikaji Jackson Mbando akiwa na mke wake Martha Mwale mara tu baada ya kumeremeta jioni hii katika Kanisa la Kilutheri la Kijitonyama, Dar es Salaam. Jackson ni Meneja Uhusiano wa Tigo na mkewe yuko Barclays Bank

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...