Monday, June 01, 2009

Faru arejeshwa toka Czech


Wanyama Faru akishushwa katika ndege akitokea Jamuhuri ya Czeck ikiwa ni sehemu ya mpango wa serikali kuwarejesha nchini Faru ambao walikuwa wametoweka kutokana na ujangili. Faru huyo ni mmoja kati ya watatu toka Jamhuri ya Czech ambao walirejeshwa juzi baada ya serikali kuwaomba kutokana na kuimarishwa ulinzi ndani ya hifadhi, faru hao watahifadhiwa katika kituo maalum cha mfuko wa hisani wa kulinda wanyamapo (WPTF) kilichopo ndani ya hifadhi ya Mkomazi kwa miezi miwili kuzowea hali ya hewa ya tanzania na baadaye kuachiwa kuishi ndani ya hifadhi hiyo. picha na mussa juma

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...