Sunday, October 12, 2008

Chadema ni kufuru tupu

Taarifa tulizozikusanya katika kata zaidi ya saba za mjini inaonyesha kuwa CCM imeibuka na ushindi mkubwa na tayari imeshajitangazia ushindi katika kata ya Tarime Mjini.



picha ya kwanza ni askari polisi akiwa analinda moja ya vituo vya kupiga kura katika eneo la nyameaya .wilayani tarime jana.
picha na mussa juma pichani ni mgombea ubunge wa chadema charles mwera kati kati akishauriana na vijana katika kijiji cha nyamwaya jana ambao walikuwa hawaoni majina yao katika daftari la kupigia kura jana.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...