Monday, October 20, 2008

Media Bonanza






Watu walichangamka ile mbaya katika hili media Bonanza kila mtu yuko na mwenzake wanafanya mambo makubwa kimpango kwa ufadhili mkubwa wa kanywaji.

1 comment:

Fita Lutonja said...

Kumbe watu walijisasambua kwelikweli. aseeeee!

MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA

KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...