Tuesday, October 07, 2008
Mbowe mzima
mwenyekiti wa CHADEMA, Freman Mbowe akizungumza katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Menonite jana mara baada ya kuwasili Tarime kutoka Jijini Dar es Salaam ambapo alipokewa na maandamano makubwa kutokea mpakani mwa wilaya ya Tarime na Rolya zaidi ya kilometa 25 toka Tarime mjini. picha na mussa juma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
1 comment:
Ni mpaka kieleweke sio!
Ningekuwa mimi ningewaacha wananchi wa Tarime wampate mbunge wao bila kuingiliwa.
Haya maandamano ya kumpokea yanatupa ujumbe ambao tayari tulishaupata baada ya kutandikwa kwa Mtikila.
Mpaka kieleweke. Hakuna kulala.
Post a Comment