Thursday, October 11, 2007

Futari


Makamu wa Rais Dk Alli Mohammed Shein ( wa pili kushoto) akishiriki futari aliyowaandalia wananchi wa Dar es Salaam nyumbani kwake Oysterbay jana. Wa kwanza kushoto ni Waziri Mkuu Edward Lowassa. Picha ya Ofisi ya Makamu wa Rais.

3 comments:

Anonymous said...

sioni salads, mboga wala matunda hapo. Ina maana huyu naye pia hajui "health eating?" Kweli kazi ipo.

Anonymous said...

Lakini kuna juice ya matunda, hakuna kilichoharibika.

Anonymous said...

Aaahhh acha bwana mbona kuma maparachichi au maparachichi siyo matunda na je juice haina matunda ndani yake.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...