Wednesday, October 03, 2007

Katuni za Ibra Washokera



Mgomo wa TRC ulofanyika majuzi.

2 comments:

Anonymous said...

Hiyo ndiyo style ya ubinafsishaji Tanzania, TIC wanapenda kuonekana kuvutia wawekazeji kuliko kuangalia maisha ya existing staff na haki zao prior to moving kampuni to the private hands!
Hapa hakuna maendeleo wala uboreshaji wa maisha!

Tiko*2

Unknown said...

Inasomeka,
tuko pamoja Mkuu.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...