Wednesday, February 22, 2017

KAMPUNI YA MAGARI YA TATA YAZINDUA MAGARI MAPYA AINA YA (TATA ULTRA) JIJINI DAR ES SALAAM

2
Bw. Prashant Shukla Mkuu wa Biashara ya TATA Africa Holdings Tanzania Limited pamoja na Bw.Rudrarup Maitra Mkuu wa CVIB TATA Morors Limited  wakikata utepea kuashiria uzinduzi wa basi jipya aina ya TATA Ultra na Roli Dogo aina ya TATA Ultra yaliyoundwa na kampuni  hiyo ya India na kuingizwa sokoni, Magari hayo yameundwa na kutengenezwa katika ubora wa  kuhimili hali yoyote na yanaweza kufanya kazi katika nchi za mabara ya Asia, Ulaya , Africa , na kwingineko, Uzinduzi huo umefanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
3
6
Viongozi hao wa kampuni ya TATA Africa Holdings Tanzania limited wakipiga picha ya pamoja mara baada ya kuzindua magari hayo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
7
Basi la TATA Ultra linavyoonekana kwa ndani.
8
Bw. Prashant Shukla Mkuu wa Biashara ya TATA Africa Holdings Tanzania Limited akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi huo uliofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
9
Kutoka kulia ni Meneja wa CVIB TATA Motors Limited kwa ukanda wa Kusini na Mashariki, Bw. Rudrarup Maitra Mkuu wa CVIB TATA Morors Limited , Bw. Niraj Srivanstava Mkuu wa Usambazaji Kimataifa  TATA International Limited na Bw. Naresh Leekha Mkuu wa TATA Africa Holdings Tanzania Limited Ukanda wa Afrika Mashariki wakijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na waandishi wa habari.
10
Bw. Naresh Leekha Mkuu wa TATA Africa Holdings Tanzania Limited Ukanda wa Afrika Mashariki akifafanua baadhi ya  maswali mbalimbali yaliyoulizwa na waandishi wa habari.
11
Bw. Naresh Leekha Mkuu wa TATA Africa Holdings Tanzania Limited Ukanda wa Afrika Mashariki akifafanua baadhi ya  maswali mbalimbali yaliyoulizwa na waandishi wa habari, kulia ni Bw. Niraj Srivanstava Mkuu wa Usambazaji Kimataifa  TATA International Limited
1214
Bw. John Bukuku Mkurugenzi wa Mtandao huu akiuliza moja ya swali kuhusu ubora wa magari ya TATA Ultra yaliyozinduliwa na kampuni hiyo jijini Dar es salaam katika uzinduzi huo.
15
Bw.Rudrarup Maitra Mkuu wa CVIB TATA Morors Limited  akifafanua baadhi ya mambo katika uzinduzi  huo kushoto ni Bw. Niraj Srivanstava Mkuu wa Usambazaji Kimataifa  TATA International Limited.
16
Bw. Niraj Srivanstava Mkuu wa Usambazaji Kimataifa  TATA International Limited akitolea ufafanuzi  moja ya maswali yaliyoulizwa na waandishi wa habari.
17
Kikundi cha Ngoma kikitumbuiza katika uzinduzi huo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...