Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akiongoza ujumbe wa viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambao walitembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, Haikamen Mlekio akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed wakati viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiukaribisha ujumbe wa viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiukaribisha ujumbe wa viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akibadilishana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed wakati Waziri huyo na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed wakati wa ziara ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na mmoja wa viongozi wa Zanzibar wakati wa ziara ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akibadilishana Profesa Ninatubu Lema wakati Waziri huyo na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akibadilishana Profesa Ninatubu Lema huku Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwasikkiliza wakati Waziri huyo na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment