Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano huo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, wakati akizungumza nao, jijini Dar es Salaam jana.
Juu na chini: Ni baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, walipo kuwa wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano huo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, wakati akizungumza nao, jijini Dar es Salaam jana.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujnzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, akizungumza na wajumbe wa mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakati alipokuwa akiufunga jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa baraza hilo, Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika, Fortunatus Kapinga, kushoto ni Meneja rasilimali wetu wa shirika, William Makumba na wapili kushoto ni Kaimu Meneja Biashara wa shirika, Janeth Msofe.
Juu na chini: Ni baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, walipo kuwa wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano huo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, wakati akizungumza nao, jijini Dar es Salaam jana.
Juu na chini: Ni baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, walipo kuwa wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano huo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, wakati akizungumza nao, jijini Dar es Salaam jana.
Juu na chini: Ni baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, walipo kuwa wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano huo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, wakati akizungumza nao, jijini Dar es Salaam jana.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujnzi, Uchukuzi na Mawasiliani (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, akizungumza na wajumbe wa mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakati alipokuwa akiufunga jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano huo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, wakati akizungumza nao, jijini Dar es Salaam jana.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujnzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, akizungumza na wajumbe wa mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakati alipokuwa akiufunga jijini Dar es Salaam jana. Katiakti ni Mwenyekiti wa baraza hilo, Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika, Fortunatus Kapinga na kulia ni Meneja Mkuu rasilimali za shirika, James Sando.
Juu na chini: Ni baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, walipo kuwa wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano huo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, wakati akizungumza nao, jijini Dar es Salaam jana.
Juu na chini: Ni baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, walipo kuwa wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano huo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, wakati akizungumza nao, jijini Dar es Salaam jana.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujnzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, akisisitiza jambo kwa wajumbe wa mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakati alipokuwa akiufunga jijini Dar es Salaam jana.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujnzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, akizungumza na wajumbe wa mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakati alipokuwa akiufunga jijini Dar es Salaam jana.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujnzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, akipongezwa na Meneja rasilimali wetu wa Shirika la Posta, William Makumba mara baada ya kuzungumza na wajumbe wa mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa shirika hilo, wakati alipoufunga jijini Dar es Salaam jana.
Katibu wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, Meneja wa Posta Mkoa wa Iringa, Emmanuel Lugomera, akizungumza wakati wa kufungwa kwa mkutano huo wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa shirika hilo, jijini Dar es Salaam jana.
Mjumbe wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, kutoka Pemba, Zanzibar, Mussa Bilal, akitoa neno la shukurani kwa Katibu Mkuu, Profesa Kamuzora.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano huo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, wakati akizungumza nao, jijini Dar es Salaam jana.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujnzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora (katikati mstari wa mbele), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, mara baada ya kuufunga jijini Dar es Salaam jana.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujnzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, akiagana na baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania mara baada ya kuufunga jijini Dar es Salaam jana. Kwa sasa Profesa Kamuzora amehamishiwa kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais.
No comments:
Post a Comment