Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro uliopo kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo iliyopo Wasso Desemba 15, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1A7872, 1a7873, Baadhi ya watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo uliopo Wasso wilayani Ngorongoro Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment