Tuesday, September 06, 2011

Mgombea aenda kuchukua fomu na baiskeli

Ningelikuwa mimi ningemchagua huyu

Mgombea ubunge kwa tiketi ya UMD, Ndegeya Lazaro akitoka kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo kwa baiskeri katika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Igunga, mkoani Tabora jana. Uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika jimboni humo hivi karibuni.Picha na Joseph Zablon.

******************************************************

"Watu wengi ni maskini wa kutupwa ingawa wana raslimali nyingi na mifugo na upande mwingine wanazo fursa za kilimo lakini maenndeleo yao ni ya mwendo wa kinyonga," anasema Lazarous Ndegeya mgombea Ubunge jimbo la Igunga kwa tiketi ya chama cha UMD na kuongeza kuwa hali hhiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na wanasiasa ambao si wa kweli kwa wapiga kura wao.

"Mimi nataka ubunge Igunga sio kwenda kuwaahidi kuwa eti nitawajengea hiki au kile au sijui nitawaffannyyia nini sijui, mimi si wa namna hiyo isipokuwa nitawaambia ukweli na kushirikiana nao kujeiletea maendeleoe," anasema na kuongeza kuwa serikali haina fedha

1 comment:

Anonymous said...

hawa ndo ukiwachagua wanaenda kuleta njaa zao kwanza bora mtu mwenye uwezo wake asije akaenda kuutafuta utajiri kwenye ubunge.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...