Thursday, September 15, 2011

Jiji la Dar es Salaam

Hapo ni eneo la katikati ya jiji
Posta ya zamani eneo la kihistoria pengine hii ndo alama pekee ukiacha St Joseph na Azania Front zinazoitambulisha Dar es Salaam.
Hapo ni eneo la Wizara ya Ardhi na kwa nyuma yake jengo la wizara ya Ardhi
Ferry Kigamboni

Jiji la Dar es Salaam linakua kwa kasi ni miongoni ma majiji 10 yanayokua kwa kasi duniani, Dar ni ya tisa,
Kukua kwa jiji hili kumeongeza changamoto kila kukicha

No comments:

🔴🔴HIFADHI YA MPANGA-KIPENGERE YAENDELEA KUWA LULU YA VIZAZI VIJAVYO

  📍Wanafunzi wa Nyanda za Juu Kusini Wapiga Kambi Kujifunza na Kutali  Na Beatus Maganja, Njombe. Wahenga walioshiba tunu za uhifadhi na ut...