Wednesday, April 21, 2010

Tanzia

Mzee wa Mshitu na familia yake wanasikitika kutangaza kifo cha kaka yao, Rubani na Meja wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Hussein Charahani, aliyefariki Dunia usiku wa kuamkia Jumanne ya April 13, 2010 katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam na amezikwa nyumbani Nachingwea Aprili, 16 mwaka huu. Alikuwa rubani mahiri wa ndege za kijeshi na mtu mwenye kutegemewa sana katika Jeshi na pia familia yake.
Mola ailaze roho yake mahala pema peponi. Amina.
Kwa Habari zaidi

1 comment:

Unknown said...

Pole kaka Yach. Tunaomba Mungu amlaze mahali pema peponi na pia aitangulie familia katika wakati huu mgumu.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...